Ankal,
Tuwapatie wadau habari ya matukio mbalimbali ktk ulimwengu huu kama hii ya mapokezi ya Askofu Kakobe jijini Lusaka, Zambia ktk ziara yake ya masuala ya Kiroho.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Kweli mtume kwao hadhaminiwi.

    ReplyDelete
  2. Saafi sanaaa, alalae usimwamshe na wajinga ndiyo waliwao na akirudi kakobe tuu tuwapelekee babu wa Loliondo. Michuzi tafadhali ondoa hii video kwa sababu wanaijeria wanaingia kwenye blog yetu ya jamii na wakishtukia mchongo huu watakwenda wao Zambia na kututilia kitumbua chetu mchanga.


    ReplyDelete
  3. Naona polisi wa trafiki ktk pikipiki anatoa ishara kwa kila namna hata kwa kutumia mguu ili mgeni wao Askofu Kakobe afike salama mjini.

    Kweli Mtume hajulikani nyumbani kwao.

    ReplyDelete
  4. Kakobe sio mchezo nje ya bongo.

    ReplyDelete
  5. Mie nimecheka Traffic anafukuza magari kwa miguu

    ReplyDelete
  6. nabii rwakatare naye apewe msafara kwenda tanesco kulipa bili ya umeme

    ReplyDelete
  7. Kaka Michuzi, hongera sana. Kakobe amesema umebarikiwa sana
    mimi Stambuli wa global

    ReplyDelete
  8. kimataifa zaidi hahahahhaha1111

    ReplyDelete
  9. Duh! itifaki kama vile mkulu wa nchi fulani.

    Ni Bongo tu, ila Lusaka, Zambia; Lubumbashi & Kinshasa za RDC, South Korea n.k Askofu Zachary Kakobe wanamkubali kwa sana tu.

    Mdau
    Barabara ya Sam Nujoma Road.

    ReplyDelete
  10. Duh Kakobe nchi za wengine anaheshimika sana. Inakuwaje hapa kwetu hatuthamini kilicho chetu?

    Hongera Michuzi kwa kuonyesha mfano, hasa ukizingatia ni mtu wa dini tofauti na Kakobe...

    ReplyDelete
  11. Huko huko !

    Alishakwamisha maendeleo nchini kwa kuzuia nguzo za umeme zisipite ktk eneo la Kanisa lao.

    Kwa Bongo huyu Mch. hana tofauti na Mzee Jangala!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...