Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. hahaha I love it Michuzi asante nakumbuka enzi hizo nilikuwa Lindi nasoma Stadium primary school radio ni Radio Tanzania nilikuwa naimba wimbo kama nina mtihani

    ReplyDelete
  2. shukrani michuzi,
    ni nadra kumuona nguli marijani ndani ya luninga. Marijani ni mmoja wa manguli wachache wa kwenye kundi la akina mwinshehe mbaraka, tx moshi,kasaloo/kyanga twins na manetina remmy ongala. kamwe huwezi kuwalinganisha na wengineo.
    Hii luninga ya mbaraka anavyopiga gita na kuongoza kwake jukwaa ni kama alivyokuwa Franco jukwaani.

    ReplyDelete
  3. HAO MADANSA WAKE WAMEHIFADHIWA VIZURI NA CHOMBO CHA SANAA AU NDO HAWAJUIKANI TENA KAMA WANA UMUHIMU KWA UCHEZAJI WAO NI WAKIHESHIMI SIO KILA NGOMA YA SIKU HIZI MAUNOTU HALAFU WANAVA KIHUN

    ReplyDelete
  4. i cant believe final nimemwona marijan rajab!

    ReplyDelete
  5. Ahsante sana Ankal, niseme pamoja na kuwa shabiki wa nyimbo zake wakati huo sikupata kumwona. Angalau sasa nimemwona. Ahsante kwa teknolojia pia.

    ReplyDelete
  6. Dunia kweli sasa imekwisha kwani mambo yanaenda mzaba mzaba. Marijani alitabiri hivyo siku nyingi tu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...