Home
Unlabelled
Marijan Rajab enzi zake
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hahaha I love it Michuzi asante nakumbuka enzi hizo nilikuwa Lindi nasoma Stadium primary school radio ni Radio Tanzania nilikuwa naimba wimbo kama nina mtihani
ReplyDeleteshukrani michuzi,
ReplyDeleteni nadra kumuona nguli marijani ndani ya luninga. Marijani ni mmoja wa manguli wachache wa kwenye kundi la akina mwinshehe mbaraka, tx moshi,kasaloo/kyanga twins na manetina remmy ongala. kamwe huwezi kuwalinganisha na wengineo.
Hii luninga ya mbaraka anavyopiga gita na kuongoza kwake jukwaa ni kama alivyokuwa Franco jukwaani.
HAO MADANSA WAKE WAMEHIFADHIWA VIZURI NA CHOMBO CHA SANAA AU NDO HAWAJUIKANI TENA KAMA WANA UMUHIMU KWA UCHEZAJI WAO NI WAKIHESHIMI SIO KILA NGOMA YA SIKU HIZI MAUNOTU HALAFU WANAVA KIHUN
ReplyDeletei cant believe final nimemwona marijan rajab!
ReplyDeleteAhsante sana Ankal, niseme pamoja na kuwa shabiki wa nyimbo zake wakati huo sikupata kumwona. Angalau sasa nimemwona. Ahsante kwa teknolojia pia.
ReplyDeleteDunia kweli sasa imekwisha kwani mambo yanaenda mzaba mzaba. Marijani alitabiri hivyo siku nyingi tu.
ReplyDelete