Bwana harusi mtarajiwa Allen na mkewe mtarajiwa Veronica Stima wakienda mbele kwa ajili ya utambulisho.
...akilishwa keki na mtarajiwa wake
Bibi harusi mtarajiwa akiaga wazazi wake, kujitayarisha
kuungana na mwenzake. Kwa mapicha zaidi BOFYA HAPA
wazazi wa bibi harusi nawapa hongera kubwa shughuli ilikua nzito imependeza sana binti atakua amejisikia kweli veronica umetokelezea kwa sana gold na purple imewaka vizuri big up na aliekupamba amekutendea haki pendeza wewe, hongera zenu maharusi mungu awatangulie katika maisha yenu ya ndoa
ReplyDelete