Mama wa Mitindo nchini Tanzania Bi. Asia Khamsin na mai hazbendi  wake Kaka Fifte wapo tayari kwa Fashion Show hapa Dallas, TX Usiku wa leo katika East Africa Chamber of Commerce.
 Asia Khamis akipata ukodak na Dr. Mary Nagu, Dr. Mary Nagu nae kaja kuhuzuria East Africa Chamber of Commerce
 Dr. Mary Nagu akitabasamu baada ya kupenda kazi ya Asia, Dr. Alinunua Dress hii yenye rangi ya Chama inaweza kumfaa pale atakapo kuwa anawatembelea wapiga kula wake kule Anang'i, 
 Hapa Asia akipa ukodak na mama Kasora katika kati
Watu wakiangalia kazi ya Asia  usiku huu atafanya Fashion Show kuonesha kazi yake kwa wana East Africa,

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Mimi nilikuwepo, huyu mama alifanya kazi au niseme anafanya kazi nzuri sana. Mitindo mizuri ya nyumbani.

    Dada Asia mbona hujatuwekea picha za show za mavazi (cat walk).. ilikuwa kali sana

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...