Mama wa Mitindo nchini Tanzania Bi. Asia Khamsin na mai hazbendi wake Kaka Fifte wapo tayari kwa Fashion Show hapa Dallas, TX Usiku wa leo katika East Africa Chamber of Commerce.
Asia Khamis akipata ukodak na Dr. Mary Nagu, Dr. Mary Nagu nae kaja kuhuzuria East Africa Chamber of Commerce
Dr. Mary Nagu akitabasamu baada ya kupenda kazi ya Asia, Dr. Alinunua Dress hii yenye rangi ya Chama inaweza kumfaa pale atakapo kuwa anawatembelea wapiga kula wake kule Anang'i,
Hapa Asia akipa ukodak na mama Kasora katika kati
Watu wakiangalia kazi ya Asia usiku huu atafanya Fashion Show kuonesha kazi yake kwa wana East Africa,


Mimi nilikuwepo, huyu mama alifanya kazi au niseme anafanya kazi nzuri sana. Mitindo mizuri ya nyumbani.
ReplyDeleteDada Asia mbona hujatuwekea picha za show za mavazi (cat walk).. ilikuwa kali sana