![]() |
| Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid mjini Arusha leo. |
Katibu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Ndugu Mbunge wa Monduli Ndugu Edward Lowassa. Uwanja wa Ndege wa Arusha. Kushoto ni Katibu wa CCM Mkoa wa Arusha, Ndugu Mary Chatanda
Ngoma ya Kimasai wakati wa ujio wa Kinana na Jopo lake Meru.
Picha na Bashir Nkoromo
Kwa mapicha zaidi BOFYA HAPA
Ngoma ya Kimasai wakati wa ujio wa Kinana na Jopo lake Meru.
Picha na Bashir Nkoromo
Kwa mapicha zaidi BOFYA HAPA


.jpg)


....Hili neno la "ndugu" lilipotea kwa muda mrefu, kwa hiyo sasa limerudi tena?
ReplyDelete