Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wananchi katika  mkutano wa hadhara uliofanyika leo kwenye Uwanja  wa Sheikh Amri Abeid mjini Arusha leo.
 Katibu wa CCM Ndugu Abdulrahman  Kinana akisalimiana na Ndugu Mbunge wa Monduli Ndugu Edward Lowassa. Uwanja wa Ndege wa Arusha. Kushoto ni Katibu wa CCM Mkoa wa Arusha,  Ndugu Mary Chatanda
 Ngoma ya Kimasai wakati wa ujio wa Kinana na Jopo lake Meru.
Picha na Bashir Nkoromo

Kwa mapicha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. ....Hili neno la "ndugu" lilipotea kwa muda mrefu, kwa hiyo sasa limerudi tena?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...