Anaitwa Anastazia Dulianus miaka 18,ni mwenyeji wa Wilaya ya Serengenti mkoani Mara,amefika jana Hospital ya Mkoa lakini mpaka sasa hajapata huduma yoyote. Mzazi wake anatafuta fedha za kwenda kupima nyama ya Mguu KCMC Moshi, anahitaji msaada wa kifedha. Atakayeguswa na hali hii afike wodi namba 4 hospital ya Mkoa wa Mara.                                    
                            Au tuwasiliane kwa namba   0756 035 825
                                      Kutoa ni Moyo,tumsaidie Mtanzania mwenzetu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. JAMANI HAWA WANAFANYA ZIARA ZA KUPONGEZANA HAWAGUSI NA HAYA??
    WATANZANIA KWA SHEREHE HAKUNA DUNIANI

    ReplyDelete
  2. KAMA WANYONGE KAMA HAWA HAWANA MSAADA WOWOTE HII SEREKALI INAWEZA KITU GANI, MICHUZI WOTE TUNAJUA JUKUMU KUBWA LA GOVT NI HUDUMA KWA JAMII NA FUNDS KWA HUDUMA HIZI ZIPO, WAKATI WASAMARIA WEMA TUNAGUSWA NA MATATIZO YA WANYONGE HAWA TUUNGANISHE NGUVU KUIFANYA GOVT KUWA MORE RESPONSIBLE

    ReplyDelete
  3. Audhubillah
    I think this is a bone cancer (saratan), hapo ilipo na umri wa huyu binti, bila shaka ni sheitan anayeitwa OSTEOSARCOMA.Its a pretty aggressive type of cancer.

    ReplyDelete
  4. Asante blog ya jamii,mmekuwa walau na nyie mnachangia kuwasadidia hawa wasio na uwezo wa kulipia matibabu,manake kuwatangaza hapa tu ni mchango ninadhani hawalipii gharama za tangazo.Hawa tutawachangia sawa lakini ni jukumu la serikali kaa alivyochangia mheshimiwa mmoja hapo juu.Sera ya Afya inasemaje kuhusu hawa wasio na uwezo wa kulipia gharama za matibabu?????

    David V

    ReplyDelete
  5. mtabaki blaa blaa na selikari yetu hii... kaeni kimya tuu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...