Hii Ndio sehemu watakayokaa wakuu na Viongozi wa Chuo Kikuu Cha Dodoma kwaajili ya kuwatunuku wahitimu muda mfupi ujao katika viwanja vya chimwaga vilivyopo chuoni hapo
Baadhi ya Wahitimu wa Kitivo Cha Sayansi ya Jamii, Sanaa na Lugha Cha Chuo Kikuu Cha Dodoma wakiwa katika harakati za kutafuta picha za ukumbusho na rafiki zao wakati wa sherehe za mahafali ya tatu ya Chuo Kikuu Cha Dodoma yanayotajiwa kuanza saa saba Mchana wa leo katika viwanja vya Chimwaga Vilivyopo Chuoni Hapo
Mdau Josephat Lukaza wa Lukaza Blog na Classmate wake Wa Shahada ya Kwanza ya Sosholojia ya Chuo Kikuu Cha Dodoma Katika Mahafali ya Tatu ya Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) yanayofanyika katika Viwanja vya Chimwaga vilivyopo Chuoni Hapo
Kutoka Kushoto Ni Josephat Lukaza Mmiliki wa Lukaza Blog akifuatiwa na Emmanuel Mwakibinga na Patrick Kapachino Kapongwa katika Picha ya Pamoja Kabla ya Sherehe za mahafali ya tatu ya Chuo Kikuu Cha Dodoma Kuanza katika Viwanja Vya Chimwaga leo
Wahitimu wakiwa katika shamrashamra za huku na kule katika Kuchuku taswira za ukumbusho katika mahafali ya tatu ya Chuo Kikuu Cha Dodoma yanayofanyika katika viwanja vya chimwaga vilivyopo Chuoni hapo
Wahitimu wakiwa Katika Harakati za hapa na pale katika mahafali ya tatu ya chuo kikuu cha Dodoma yanayofanyika katika Viwanja Vya Chiwaga Vilivyopo Chuoni hapo leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Hongereni wa TZ achaneni na wamajuuu maneno mengi!!

    ReplyDelete
  2. heee kwahyo wanaograduate majuu wana waneno mengi??we mdau hujielewi,sema hongera usepe!!!!

    ReplyDelete
  3. Nasubir kumwona anko Harry.

    ReplyDelete
  4. ni sepe wapi wewe habari ndo hiyo!!
    Congrats wa TZ

    ReplyDelete
  5. Haya Wasomi juzi mlikuwa mnagombea Makoti/ Majoho,

    Ilikuwa hakuna sababu kuparurana bureee mbona kila mmoja alipata la kakwe?

    Enheee vipi sasa pana tofauti gani hadi leo?

    ReplyDelete
  6. Mmesha Hitimu, kilichobaki mtafute kazi kwa vigezo na ushindani na sio kwa njia za Rushwa na upendeleo!!!

    Isije ikatokea mtu aliyekuwa anaburuza Mkia Darasani Versity anakabidhiwa Idara nyeti kabisa wakati yule Mhitimu mwenziye mwenye GPA (Credit) za juu anahangaika na makabrasha makwapani kila siku akipiga foto kopi za vyeti na kuandika CV akiwa kazi hapati!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...