Marehemu Stella Samuel Mwita (32)
Mgonjwa Stella  Samuel Mwita mwenye umri wa miaka 32 amefariki dunia  Novemba 2, 2012 saa 12 asubuhi katika Idara ya Magonjwa ya Akili Hospitali ya Taifa Muhimbili alikokuwa amelazwa toka Septemba 2012. 
 Stella alikuja Dar es Salaam kutokea Mtwara miaka mingi iliyopita na wakati wa ugonjwa wake hakupata kutembelewa na ndugu yeyote yule.
Shughuli za mazishi zinasubiri ndugu wa marehemu. Mungu ailaze roho yake pema peponi.
 Yeyote anayemfahamu Marehemu huyu A naomba awasiliane na Ofisi ya Uhusiano kupitia  0755 64 86 36 wakati wowote kuanzia sasa kwa taarifa zaidi.


Imetoloewa na;
Aminiel Aligaesha
Afisa Uhusiano Mwandamizi
Hospitali ya Taifa Muhimbili

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Michuzi sasa watu watamtambuaje huyu mtu ikiwa picha umeficha?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...