Wapenzi wa Chacha wamemjia juu Ankal kwa kile wanachodai kusahaulika katika anga zao. Naye bila hiyana akazama hadi mwaka 1984 wakati midundo hiyo ilipokuwa inatamba katika kumbi za disko, na kuibuka na  mwanadada Sade anayekuambia 'Smooth Operator'.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Mwanadada SADE ambaye wa Magharibi wanamkosea na kumwita SHADE ,zaidi ya hiyo Kibao 'Smooth Operator' ana ile kitu yake 'SWEETEST TABOO' ilitamba sana miaka kibao!

    Ankali tafadhali tundika hewani 'Sweetest taboo' !!!

    ReplyDelete
  2. Mbona mwenyewe anajiita SHADE, ina maana anajikosea kutamka jina lake?

    Au unalazimisha?



    ReplyDelete
  3. Mdau wa pili anony Sat Nov 24, 07:33:00 PM 2012

    ...wewe sasa unaleta ligi ,yeye mwenyewe Oroginally ni SADE kama alivyoandika Michuzi , Wazungu mashabiki wake wanamwita SHADE sasa ndio hapo tuchukue kama jina lake lilivyo au tuite kama linavyitwa na wengi akiwemo yeye?

    ReplyDelete
  4. Ameamua kujiita 'shade' ili kuwarahisishia watu wake!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...