Wapenzi wa Chacha wamemjia juu Ankal kwa kile wanachodai kusahaulika katika anga zao. Naye bila hiyana akazama hadi mwaka 1984 wakati midundo hiyo ilipokuwa inatamba katika kumbi za disko, na kuibuka na mwanadada Sade anayekuambia 'Smooth Operator'.
Home
Unlabelled
Ngoma azipendazo Ankal
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Mwanadada SADE ambaye wa Magharibi wanamkosea na kumwita SHADE ,zaidi ya hiyo Kibao 'Smooth Operator' ana ile kitu yake 'SWEETEST TABOO' ilitamba sana miaka kibao!
ReplyDeleteAnkali tafadhali tundika hewani 'Sweetest taboo' !!!
Mbona mwenyewe anajiita SHADE, ina maana anajikosea kutamka jina lake?
ReplyDeleteAu unalazimisha?
Mdau wa pili anony Sat Nov 24, 07:33:00 PM 2012
ReplyDelete...wewe sasa unaleta ligi ,yeye mwenyewe Oroginally ni SADE kama alivyoandika Michuzi , Wazungu mashabiki wake wanamwita SHADE sasa ndio hapo tuchukue kama jina lake lilivyo au tuite kama linavyitwa na wengi akiwemo yeye?
Ameamua kujiita 'shade' ili kuwarahisishia watu wake!!!
ReplyDelete