Kazi za msanii Marlaw w wa Tanzania zinatambuliwa hata nje ya mipaka ya nchi yake baada ya bendi ya Polisi Kenya kupiga wimbo wake wa Pii pii katika hafla mbalimbali. Hapa chini Bendi ya polisi ya Kenya ikipiga wimbo wa Marlaw wa 'Pi Pi Pi' wakati wa kikao cha 14 cha viongozi wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kilichofanyika Novemba 30, 2012 katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi
Home
Unlabelled
Bendi ya Polisi Kenya yapiga wimbo Pii Pii wa Marlaw
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Michuzi Hii nimeipenda.
ReplyDeleteKALLEY
hata mimi pia
ReplyDeleteMimi naipenda, wewe waipenda lakini copy right iko wapi
ReplyDeleteMbongo astahili kupata chochote wimbo wake ukitumiwa hivyo.