Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo jioni alijumuika na mamia ya wakazi wa mji wa Bagamoyo katika mazishi ya alhaji Shekhe Abdallah Masoud Jembe, mmoja wa mashekhe maarufu na mzee wa mji wa Bagamoyo.Makamu wa Rais Dkt. Mohamed Gharib Bilal na Mwenyekiti wa Chama cha upinzani cha CUF prof.Ibrahim Lipumba ni miongoni wa viongozi waliohudhuria mazishi hayo.Pichani Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na makamu wa Rais Dkt.Momahed Gharib Biala wakiweka udongo katika kaburi la Marehemu Shekhe Abdallah Masoud Jembe wakati wa mazishi yaliyofanyika mjini Bagamoyo leo jioni
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiweka Udongo Kaburini.
Makamu wa Rais,Dkt. Mohamed Gharib Bilal akiweka Udongo Kaburini wakati wa Mazishi ya Alhaji Shekhe Abdallah Masoud Jembe.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Mashallah rais wetu akuzidishie inshallah

    ReplyDelete
  2. Mwenyezi Mungu amlaze mahali pema peponi

    ReplyDelete
  3. JK ni mtu wa watu,mwenyezi mungu akujaalie kila la kheri,mwenyezi mungu amlaze mahali pema Alhaj Sheikh Jembe.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...