Flashback: Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mh. Mwanaidi Maajar akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Marekani Barack Obama mara baada ya kukabidhi hati ya utambulisho wa Balozi wetu huyo nchini humo tarehe 16.09.2010
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ,
Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Balozi Mwanaidi Sinare Maajar kuwa
Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Diplomasia (CFR) kilichopo Kurasini Jijini Dar
es Salaam.
Aidha,
kufuatia uteuzi huo, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe.
Bernard Kamillius Membe (Mb.) amewateua Wajumbe wa Bodi hiyo kuwa ni:-
1.
Bw. Dushhood
M. K. Mndeme
2.
Mhe. Balozi
Abdi Mshangama
3.
Mhe. Dkt.
Leonidas Mushokolwa
4.
Mhe. Dkt.
Harold Utouh
5.
Mhe. Saidi
Mtanda (Mb.)
6.
Mhe. Betty
Machangu (Mb.)
7.
Bw. Affan
Othman Maalim
8.
Bw.
Abdurahaman Abdallah
Uteuzi
wa Mwenyekiti na Wajumbe hao ni kwa kipindi cha miaka mitatu (3) kuanzia tarehe
22 Januari, 2013 hadi tarehe 21 Januari, 2016.
IMETOLEWA NA: WIZARA YA MAMBO YA NJE
NA
USHIRIKIANO WA KIMATAIFA, DAR ES
SALAAM
15 FEBRUARI, 2013
Mdau wa kwanza km umeumia kunywa sumu
ReplyDeleteacha upuuzi anony wa kwanza(mon feb 18, 03:40pm2013)
ReplyDeleteHuyo bwege wa Kanza alikuwa analalamikia Udini kutumika ktk Uteuzi huu sijui kwa Kigezo gani?
ReplyDelete