Keki ya Stephanie
 Kata keki tuuuleeeeeee.....
 Stephanie akikata keki huku wenzake wakiwa mate yanawatoka
 Ni siku ta furaha
 Happy birthday Stephanie, happy birthday to you!!!!
 Dkt. Selemani Seif Mziray alikua mwanafunzi wa Ilboru Secondary School tangu 1986 hadi mwaka 1989 akiwa na mkewe wakijiandaa kuingia kwenye ukumbi kusherehekea Hepi Besdei ya kuzaliwa  ya mtoto wao wa kike (Stephanie). Vimulimuli hawa ni wazaliwa wa Tanzania na sasa hivi wanaishi nchini Canada ambapo bwana Mziray anafanya kazi kama Research Associate kwenye Department of Chemical and Materials Engineering at University of Alberta, in Edmonton. Bwana Mziray ana nondozzz ya PhD in Material Science na mama ni Nurse
Bwana mziray pamoja na marafiliki wakipozi na watoto wakati wa kula keki

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Hongera sana Dkt. Suleiman Seif Mziray na Mama Stephanie pamoja na yeye mwenyewe Stephani Birth Day Girl!

    Sawa, licha ya uchache wetu na mapungufu yetu hapa nchini ukiwa kama Mzaliwa wa Tanzania je ni vipi Machango wa Research zako kuzielekeza huku nyumbani Tanzania kwa maendeleo ya nchi yetu?

    ReplyDelete
  2. happy birthday mtoto ila wazazi na nyie mlimechisha sana.

    ReplyDelete
  3. mmependeza aiseeeee alll the best to the birthday girl

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...