Keki ya Stephanie
Kata keki tuuuleeeeeee.....
Stephanie akikata keki huku wenzake wakiwa mate yanawatoka
Ni siku ta furaha
Happy birthday Stephanie, happy birthday to you!!!!
Dkt. Selemani Seif Mziray alikua mwanafunzi wa Ilboru Secondary School tangu 1986 hadi mwaka 1989 akiwa na mkewe wakijiandaa kuingia kwenye ukumbi kusherehekea Hepi Besdei ya kuzaliwa ya mtoto wao wa kike (Stephanie). Vimulimuli hawa ni wazaliwa wa Tanzania na sasa hivi wanaishi nchini Canada ambapo bwana Mziray anafanya kazi kama Research Associate kwenye Department of Chemical and Materials Engineering at University of Alberta, in Edmonton. Bwana Mziray ana nondozzz ya PhD in Material Science na mama ni Nurse
Bwana mziray pamoja na marafiliki wakipozi na watoto wakati wa kula keki
Hongera sana Dkt. Suleiman Seif Mziray na Mama Stephanie pamoja na yeye mwenyewe Stephani Birth Day Girl!
ReplyDeleteSawa, licha ya uchache wetu na mapungufu yetu hapa nchini ukiwa kama Mzaliwa wa Tanzania je ni vipi Machango wa Research zako kuzielekeza huku nyumbani Tanzania kwa maendeleo ya nchi yetu?
happy birthday mtoto ila wazazi na nyie mlimechisha sana.
ReplyDeletemmependeza aiseeeee alll the best to the birthday girl
ReplyDelete