Kocha Athumani Kilambo (kanzu ya kijani) enzi za uhai wake akiwa na vijana wake wa Yanga Kids na baadaye wakaja kuchezea Yanga na Pan Africa mwaka jana wakati wa mkusanyiko wao kumkaribisha nyumbani mwenzao Kassim Manara (kushoto) aliyerejea Tanzania kwa mapumziko baada ya kuishi Ulaya kwa takriban miaka 25 mfululizo.
Marehemu Kilambo, ambaye alifariki usiku wa kuamkia leo kwa maradhi ya Saratani ya koo, anatarajiwa kuzikwa leo katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaaam baada ya Salat Alaasiri katika msikiti wa Manyema.
Oh' Inalilah waina ilaih! Manara ple sana commander!!Luckson P.
ReplyDelete
ReplyDeleteHuyo Dr Dau ndio maskani yake?
duh! nilitegemea kumwona CEO huyu akiwa Gymkhana Golf club au Yatch Clubna wenzake kama akina Kitilya wa TRA, na uRIO WA wa PPF, na wengineo wa CRDB, NBC na wengineo wengi.
Huyu amiii anapatikana Uswahiliniiii tena klabu ya Pan Africa.
Ama kweli huyu jamaa ni humble
Inna lillaahi wainna ilayh Raajiuun
ReplyDeleteDuuh naona Yanga Kids ilikuwa imesheheni vipaji kumbe....Nyuma namuona Adolph Rishad na Mloka...Mbele yuko Dr Ramadhan Dau na Juma Pondamali Mensa...hawa wengine nimeshindwa kuwatambua anayewakumbuka atufahamishe.
Mdau Dr.Dau Kachezea Pan Africa,Pia unajua kama Benno Ndulu aliwahi kua centre forward ea Young Kinya ya jangwani na mafia kariakoo?
ReplyDelete