Kocha Athumani Kilambo (kanzu ya kijani) enzi za uhai wake akiwa na vijana wake wa Yanga Kids na baadaye wakaja kuchezea Yanga na Pan Africa  mwaka jana wakati wa mkusanyiko wao kumkaribisha nyumbani mwenzao Kassim Manara (kushoto) aliyerejea Tanzania kwa mapumziko baada ya kuishi Ulaya kwa takriban miaka 25 mfululizo.

Marehemu Kilambo, ambaye alifariki usiku wa kuamkia leo kwa maradhi ya Saratani ya koo, anatarajiwa kuzikwa leo katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaaam baada ya Salat Alaasiri katika msikiti wa Manyema.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Oh' Inalilah waina ilaih! Manara ple sana commander!!Luckson P.

    ReplyDelete


  2. Huyo Dr Dau ndio maskani yake?

    duh! nilitegemea kumwona CEO huyu akiwa Gymkhana Golf club au Yatch Clubna wenzake kama akina Kitilya wa TRA, na uRIO WA wa PPF, na wengineo wa CRDB, NBC na wengineo wengi.

    Huyu amiii anapatikana Uswahiliniiii tena klabu ya Pan Africa.

    Ama kweli huyu jamaa ni humble

    ReplyDelete
  3. Inna lillaahi wainna ilayh Raajiuun

    Duuh naona Yanga Kids ilikuwa imesheheni vipaji kumbe....Nyuma namuona Adolph Rishad na Mloka...Mbele yuko Dr Ramadhan Dau na Juma Pondamali Mensa...hawa wengine nimeshindwa kuwatambua anayewakumbuka atufahamishe.

    ReplyDelete
  4. Mdau Dr.Dau Kachezea Pan Africa,Pia unajua kama Benno Ndulu aliwahi kua centre forward ea Young Kinya ya jangwani na mafia kariakoo?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...