Hii ni sehemu ya kwanza ya Rais wa Vizion One, Inc, Bwn. Abdallah Kitwara. Akilonga na Vijimambo anaelezea maisha yake kwa ufupi, shule alizosoma na alishawishika na nini kufungua kampuni na kwanini alitumia VIZION yenye Z badala ya S mbali na Vizion One, Inc ana kampuni gani zingini hapa Marekani na Tanzania. MSIKILIZE
Home
Unlabelled
ABDALLAH KITWARA ALONGA NA VIJIMAMBO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kijana hongera sana sana na songa mbele zaidi na zaidi, vijana wenye akili kama nyie ndio mnaotakiwa hasa! Umetoa changamoto kubwa sana. Ama kweli akili ni nywele kila mtu ana zake. Watu wanaishi marekani kwa ajira zisizokidhi mahitaji miaka na miaka ila wewe umeamue kujitoa katika huo utumwa ambao wengi hawaoni kama ni utumwa. Songa mbele na hongera sana.
ReplyDeletehata mimi nimekulia Oysterbay
ReplyDeleteWewe wa Anonymous wa May 20, 2013
ReplyDeletewacha kuongea pumba. Unawakandia wenzio ndiyo unajiona mwenyewe bora?!!Unasema "Watu wanaishi marekani kwa ajira zisizokidhi mahitaji miaka na miaka" huoni kila mtu na bahati yake au kama ulivyosema "akili ni nywele kila mtu ana zake? Wacheni kufikilia kwamba mtu akifika Marekani basi anafanikiwa kirahisi au ndiyo ameshinda maisha. Kama mambo ayakuendei vizuri Marekani ni pagumu kuliko hata Bongo kwa watu wengi tu. Yaani imebidi nikujibu tu kwani nimeshindwa kuvumilia watu kama nyinyi mnaoropoka ovyo.