Hii ni sehemu ya kwanza ya Rais wa Vizion One, Inc, Bwn. Abdallah Kitwara. Akilonga na Vijimambo anaelezea maisha yake kwa ufupi, shule alizosoma na alishawishika na nini kufungua kampuni na kwanini alitumia VIZION yenye Z badala ya S mbali na Vizion One, Inc ana kampuni gani zingini hapa Marekani na Tanzania. MSIKILIZE

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 20, 2013

    Kijana hongera sana sana na songa mbele zaidi na zaidi, vijana wenye akili kama nyie ndio mnaotakiwa hasa! Umetoa changamoto kubwa sana. Ama kweli akili ni nywele kila mtu ana zake. Watu wanaishi marekani kwa ajira zisizokidhi mahitaji miaka na miaka ila wewe umeamue kujitoa katika huo utumwa ambao wengi hawaoni kama ni utumwa. Songa mbele na hongera sana.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 20, 2013

    hata mimi nimekulia Oysterbay

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 22, 2013

    Wewe wa Anonymous wa May 20, 2013
    wacha kuongea pumba. Unawakandia wenzio ndiyo unajiona mwenyewe bora?!!Unasema "Watu wanaishi marekani kwa ajira zisizokidhi mahitaji miaka na miaka" huoni kila mtu na bahati yake au kama ulivyosema "akili ni nywele kila mtu ana zake? Wacheni kufikilia kwamba mtu akifika Marekani basi anafanikiwa kirahisi au ndiyo ameshinda maisha. Kama mambo ayakuendei vizuri Marekani ni pagumu kuliko hata Bongo kwa watu wengi tu. Yaani imebidi nikujibu tu kwani nimeshindwa kuvumilia watu kama nyinyi mnaoropoka ovyo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...