Home
Unlabelled
miondoko ya kumeremeta
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Safi sana sasa watanzania tutaanza kufanya kama hawa wenzetu kwenye harusi yao.
ReplyDeleteMichuzi TV isajiliwe haraka! Tutacheka sana! Yakubu
ReplyDeletehapa bongo harusi kumi zinafungwa kwa wakati mmoja kanisa linafurika familia za wanandoa haya ya kucheza hivi yatawezekana wapi? na wachungaji walivyo wakali utaanzia wapi kucheza disco kanisani mwee tuwaachie wazungu
ReplyDeleteJOTOOOOOOOO LA BONGO TEGÉMEA VIKWAPA NA HARUFU MBAYA KWENYE HARUSI KWA HII MITINDO. HATA KAMA NI KUCHANGAMSHA HII NAONA IMEZIDI.
ReplyDeleteAnony wa tatu kwani wachungaji wameanzia wapi? Sio ulaya? Yaani unatagemea kitu kifanyike ulaya harafu kishindikane Afrika?
ReplyDelete