Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 27, 2013

    Safi sana sasa watanzania tutaanza kufanya kama hawa wenzetu kwenye harusi yao.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 27, 2013

    Michuzi TV isajiliwe haraka! Tutacheka sana! Yakubu

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 27, 2013

    hapa bongo harusi kumi zinafungwa kwa wakati mmoja kanisa linafurika familia za wanandoa haya ya kucheza hivi yatawezekana wapi? na wachungaji walivyo wakali utaanzia wapi kucheza disco kanisani mwee tuwaachie wazungu

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 27, 2013

    JOTOOOOOOOO LA BONGO TEGÉMEA VIKWAPA NA HARUFU MBAYA KWENYE HARUSI KWA HII MITINDO. HATA KAMA NI KUCHANGAMSHA HII NAONA IMEZIDI.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 28, 2013

    Anony wa tatu kwani wachungaji wameanzia wapi? Sio ulaya? Yaani unatagemea kitu kifanyike ulaya harafu kishindikane Afrika?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...