Kutokana na maombi ya wadau kibao ya kutaka kuona ngoma za asili za Tanzania sambamba na ngoma azipendazo ankal, Globu yako ya Jamii inatii amri hiyo ya wadau na kuanzia leo kutakuwa na ngoma zetu za kiasili. Tunaanza na Wachagga...
Home
Unlabelled
Mkataa kwao mtumwa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Thanks a lot. nimeburudika ile mbaya. Naomba link yenye nyimbo nyingine za kichagga.
ReplyDeleteExcellent Ankal! Huwa wachagga tunataniwa sana ya kuwa hatuna ngoma za asili. Thanks a lot. It has said it all.
ReplyDeleteHapa ni Old Moshi Mbokomu - Fukeni Ankal
ReplyDeleteMistew utaanza na kinanani kama sio wachaga.
ReplyDeleteWasije kugairi bure wakachukua binti yao, Chezea wakwe wewe....LOL