CAREERS IN AFRICA INAWATANGAZIA WALE WOTE WENYE SHAUKU YA KUTAFUTA KAZI BARA LA AFRIKA KUHUDHURIA KONGAMANO KUBWA LA KAZI LITAKALOFANYIKA JIJI LA LONDON KUANZIA TAREHE 17 MPAKA 19 MEI , 2013.
CCM UK -TUNAOMBA KUWATANGAZIA WATANZANIA WOTE, BILA YA KUJALI ITIKADI ZAO ZA KISIASA, KUJIANDIKISHA NA KUHUDHURIA KWA WINGI KONGAMANO HILI KWA KUJITAFUTIA AJIRA, AMA HATA KUJIFUNZA MENGI MAZURI YATAKAYOJIRI.
KWA MAELEZO ZAIDI NA JINSI YA KUJIANDIKISHA TAFADHALI TEMBELEA TOVUTI YA: www.careersinafrica.com
Sasa hawa jamaa walihama Afrika sasa kazi za huko za nini?
ReplyDeleteJanja ya Nyani kwisa jua eee?
ReplyDeleteMzungu ana akili sana, ameona Mwafrika anahangaika kwenda Ulaya anafika Ulaya Uchumi wenyewe umeyumba, anakosa Ajira anakaa Mtaani anakuwa Muhalifu!
Mzungu amepiga akili anaona aanzishe Careers Africa ili aweze kuwafanya WABEBA MABOX kufungasha virago kurudi kwao kwa kuwa Ulaya haina kazi sasa kazi zipo Africa!
Breki ya kwanza ni Malampaka,Kwimba na Newala TANZANIA.
Kazi kwenu akina Mbonde na Maganga safari ya Bongo imewadia!
ECONOMIC CHANGES:
ReplyDeleteUpepo wa Uchumi hubadilika na muda, inakuwa kama siku hazigandi.
Miaka ya nyuma, watu walikuwa wanakwenda Zambia na Kenya kuagiza bidhaa kama NGUO NA VIATU lakini sasa hakuna anayekwenda nchi hizo kwa kusaka bidhaa hizo tena.
Miaka iliyopita watu walikuwa wanaenda Majuu (Waafrica) lakini sasa (Wazungu) ndio wanaokuja kukaa na kutafuta Aafrica!
Juzi tu palionekana mtiririko wa Wazungu kibao kutoka sio Ugiriki na Ureno kulikofilisika wengine wametokea nchi kama Ujerumani, Uholanzi, Italy ,Marekani na Uswisi kuja kiutafuta maisha, Utajiri na kuwekeza Africa!
HAYA SASA MNAOBISHA HABARI NDIYO HIYO KAZI KWENU!
Haya Wabeba Mabox Majuu safari ya kurudi Bongo Jambaland ndio hiyo sasa!
ReplyDeleteMzungu Mafia sana, amewasukia bonge la mpango.
Ile puuu unajikuta upo Kijijini kwako (TZ) huku ukiwa huwezi kurudi tena Majuu.
Si mlikuwa wabishi?
kikili kikili unasajili (careersinafrica) unajikuta upo volunteer ktk Mradi wa Ukimwi Dar live Mbagala, Darisalama Tanzania,
ReplyDeletemwanawane mkisikia TKO (Technical Knock out) ndio hiyooo Donald Mkameruni amewachapa!
Mnaokataa kurudi Bongo mmeona 'mnemba' huo?
ReplyDeleteWasiwasi wangu ni kuwa wewe unakataa kurudi Bongo, unakuja na huo Mpango unapangiwa Kilwa ktk Mradi wa Gesi unafika unakuta Bomba la Gesi linapita Shambani kwenu kuleee Kijijini huku wewe ulipoondoka shamba limeuzwa kwa Wawekezaji (ukapoteza haki zako) na sasa umekuja kama Kibarua wa Mradi.
Hiyo ni
ReplyDeleteKutoka YUKEI hadi TANDAHIMBA-NEWALA, MAHUTA /SHIMONI, NEWALA !!!
Mkubwa ni Mkubwa hata akiwa Mlevi!
ReplyDeleteMwingereza amefanya Utafiti amekuta Jakaya Kiwete amepoteza nguvu kazi kubwa saaana kwa vijana wake kuzamia Majuu wakiwa na afya njema kwa kazi za kubeba Maboxi!
Bwana KAKA (BIG-Mwingereza) akaona aanzishe utaratibu huu ili Wabeba Mabox waje Wahudumie Wananchi wa Tanzania na Afrika!
NANI MJINGA ATAACHA KULIPWA POUND AKALIPWE SHILINGI?
ReplyDeleteMdau wa Tisa (9)
ReplyDelete''NANI MJINGA ATAACHA KULIPWA POUND AKALIPWE SHILINGI?''
Hiyo kulipwa kwa POUND sio hoja, hoja ni wingi wa Fedha ikibadilishwa.
HAO WALIOANZISHA MPANGO HUO WAMESHA FANYA UTAFITI HAJA KURUPUKA WAMEKUTA UBEBAJI WA MABOX MNALIPWA CHINI SANA HUKO (MAJUU), NIVILE TU MPO KWA WAZUNGU NDIO MNA BABAIKIA HICHO TU, HALAFU WAKAFANYA UFUATILIAJI WAKAKUTA PANA SEHEMU ZINGINE AFRIKA PANA VIPATO VYA JUU!
KUANZISHWA KWA VITU KAMA HIVI KUNATANGULIWA NA UCHANGANUZI WA KITAALAMU KWANZA, WATU WAHAKURUPUKI.
VITU KAMA:
-FIELD STUDY
-RESEARCH ANALYSIS
-REPORT ANALYSIS
-ECONOMIC ANALYSIS
-LABOR ECONOMICS ANALYSIS
Hebu angalia mfano Majuu unalipwa POUND 200 kwa Siku (NI SAWA NA TSH. 500,000/=) SASA INATOKEA KTK NCHI MOJAWAPO ZA AFRIKA (SIO TANZANIA PEKEE) UNAWEZA KUKUTWA UNALIPWA SANA NA TSHS.750,000/= KWA SIKU, MFANO ANGOLA,GHANA AU TUNISIA KWENYE SEKTA YA MAFUTA) SASA JE NI WAPI BORA UFANYE KAZI UINGERZAQ AU AFRIKA?