Bondia Japhet Kaseba kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana masumbwi na Rasco Simwanza wa Malawi wakati wa mpambano wao wa Ubingwa wa Kimataifa wa PST mpambano uliofanyika Dar es salaam jana. Kaseba alishinda kwa TKO ya raundi ya tano 

Bondia Japhet Kaseba kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana masumbwi na Rasco Simwanza wa Malawi wakati wa mpambano wao wa Ubingwa wa Kimataifa wa PST mpambano uliofanyika Dar es salaam jana Kaseba alishinda kwa TKO ya raundi ya tano 

Bondia Rasco Simwanza kutoka Malawi kushoto akipambana na Japhet Kaseba wakati wa mpambano wao wa ubingwa wa Kimataifa wa PST kaseba alishinda raundi ya tano

Bondia Japhet Kaseba akiwa amevishwa mkanda wake wa kimataifa wa PST

Bondia Kaseba akishangilia ushindi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 09, 2013

    Hongera Mbesse!!! mwendo huo huo spidi 120.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 09, 2013

    Uzito tofauti saana, haka kajamaa kingine ni mifupa mitupu, pretty much.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 10, 2013

    Hongera kaseba, tupo pamoja,Mungu msaidie cheka nae ashinde ili Tanzania ilete hofu afrika nzima.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 10, 2013

    Asante Kaseba. Tunazingatia uzito na si wingi wa nyama.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...