Bondia Rasco Simwanza kutoka Malawi kushoto akipambana na Japhet Kaseba wakati wa mpambano wao wa ubingwa wa Kimataifa wa PST kaseba alishinda raundi ya tano |
Bondia Japhet Kaseba akiwa amevishwa mkanda wake wa kimataifa wa PST |
Bondia Kaseba akishangilia ushindi |

Hongera Mbesse!!! mwendo huo huo spidi 120.
ReplyDeleteUzito tofauti saana, haka kajamaa kingine ni mifupa mitupu, pretty much.
ReplyDeleteHongera kaseba, tupo pamoja,Mungu msaidie cheka nae ashinde ili Tanzania ilete hofu afrika nzima.
ReplyDeleteAsante Kaseba. Tunazingatia uzito na si wingi wa nyama.
ReplyDelete