Kamera Man wa Globu ya Jamii,leo amefanikiwa kuzinasa taswirazz hizi za Wafanyabiashara ndogo ndogo maarufu kama wamachinga katika Mataa ya Kuongozea Magari,Ubungo Jijini Dar.Vijana wengi hapa mjini,wamekuwa wakijishughulisha na kazi mbali mbali ili kuweza kujikimu kimaisha.
Hapa ni Machinga akiuza mipira ya kucheza.
Mishale na mikuki yake pia inapatikana Ubungo Mataa.
safi sana wacha wajitafutie riziki maana hilo nchi ni gumu sana kimaisha serikali ni zero kwenye msaada wa raia wake
ReplyDelete