Home
Unlabelled
LEO MAGAZETINI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
ankal sasa umetufikisha kileleni
ReplyDeletewaliosema hayatokuwa sasa yamekuwa
japo tupo mbali tunayasikia na kuyasoma magazeti kupitia "VIDEO"
ya utaalamu wa kisasa kabisa nawe ungetokeleaga japo mara moja moja
kwa historia kizazi miaka nenda
mikidadi mdau denmark
Mwaka 2010 kipindi cha uchaguzi nilijaribu kupitia mitandao ya vituo karibu vyote vya tv hapa Tanzania. Kitu kimoja kilinikera. Pamoja na kuwa na mitandao ya kampuni au ofisi za TV, hazikuwa na hata picha moja ya video! Mbaya zaidi nyingi e mail zao hazikuwa hai kiasi cha kuruhusu mawasiliano yao. Nilikutana na muandishi mmoja Songea akiwa na timu ya kina Michuzi na Orijino Komedi kwenye mkutano wa CCM. Nikamuuliza ni kwanini, sikumbuki alijibu nini.
ReplyDeleteSiku chache kulianza kuwa na mabadiliko na nilianza kuyaona chanel ten. Ujumbe wako mikidadi unanifanya kutenga siku na kupitia tena kurasa hizo.
sesophy