Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 04, 2013

    ankal sasa umetufikisha kileleni
    waliosema hayatokuwa sasa yamekuwa
    japo tupo mbali tunayasikia na kuyasoma magazeti kupitia "VIDEO"
    ya utaalamu wa kisasa kabisa nawe ungetokeleaga japo mara moja moja
    kwa historia kizazi miaka nenda

    mikidadi mdau denmark

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 04, 2013

    Mwaka 2010 kipindi cha uchaguzi nilijaribu kupitia mitandao ya vituo karibu vyote vya tv hapa Tanzania. Kitu kimoja kilinikera. Pamoja na kuwa na mitandao ya kampuni au ofisi za TV, hazikuwa na hata picha moja ya video! Mbaya zaidi nyingi e mail zao hazikuwa hai kiasi cha kuruhusu mawasiliano yao. Nilikutana na muandishi mmoja Songea akiwa na timu ya kina Michuzi na Orijino Komedi kwenye mkutano wa CCM. Nikamuuliza ni kwanini, sikumbuki alijibu nini.
    Siku chache kulianza kuwa na mabadiliko na nilianza kuyaona chanel ten. Ujumbe wako mikidadi unanifanya kutenga siku na kupitia tena kurasa hizo.


    sesophy

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...