Baadhi ya askari wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa walioshambuliwa Julai 13, 2013  wakiwa katika hospitali ya UNAMID huko Nyala, Kusini mwa Darfur. Katika shambulio hilo askari saba wa Tanzania walipoteza maisha. Hawa ni miongoni mwa askari 17 waliojeruhiwa katika shambulio hilo, wakiwemo askari wanawake wawili ambao ni washauri wa Polisi. Kwa mujibu wa habari kutoka hospitalini hapo, hali za majeruhi zinaendelea vyema 
Gari walilokuwa wakisafiria askari hao wakati wa shambulio
 Baadhi ya majeruhi wakiwa hospitalini
Baadhi ya sakari wa kulinda amani kutoka Tanzania wakiwa Darfur
 Gari lililoshambuliwa
 Mmoja wa majeruhi akiwa hospitali
 Wakuu wa UNAMID Darfur wakimpa pole mmoja wa askari mwanamke aliyejeruhiwa
 Wakuu wa UNAMID wakitembelea majeruhi
Gari lililoshambuliwa. Picha zote na UNAMID

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 23, 2013

    why does a hospital in Darfu look way better then Muhimbili National Hospital?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 23, 2013

    Innalillahi wa innailayhi Rajiun. My friend, my schoolmate the late Sgt. Shaib Sheikh Othman.

    Nakukumbuka kwa upole na ucheshi wako. Tulisoma darasa moja High School Fidel Castrol Pemba, Zanzibar.

    Mwenyezi Mungu akusameheme makosa yako na uwe ni miongoni mwa waja wa Peponi. Amin

    Haji Rajab Haji. Mtoto wa Bimasha. Jang'ombe Zanzibar.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 23, 2013

    Anon WA kwanza umenena. No swali la kujuuliza sana. Kinachotakiwa kukarabati hospitali yetu,weka standards nzuri,wahudumu wapewe in training za customer services, polish up skills zao,weka vifaa vya maana na vinavyofanya kazi kwamfano Xray,increase Morale ya wafanya kazi kwa kuwapa incentives. Pia ajiri competent staff then Muhimbili will look like Darfur Hosp. Badala yake tunakimbilia India, plus madoctor manesi wanakimbilia ma NGO.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 23, 2013

    Hakuna wajanja , hela zinatumika zilivyopangwa.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 23, 2013

    UN na Sudan,

    Angalau mtuletee hao wauaji wa Majeshi yetu ili tuendeshe Kesi zao Arusha ICTR-(Mahakama ya Wahalifu wa Kivita) na kuwafunga, hatuta wanyonga kwa kuwa adhabu hiyo ni kinyume na Haki za Binaadamu.

    Ila tutawafunga vifungo virefu sana na kazi ngumu hapa Tanzania!!!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 23, 2013

    mungu waponye hawa wanajeshi. mtapona tu maana hapo hiyo hosipatl ni safi na kila mgonjwa na mita miwili miwili. ingekuwa bongo hapa dhu!

    ReplyDelete
  7. yangu mimi ni hili hivi majeshi kumi na saba wataingiaje kwenye land cruizer moja hivi hao UN hawana vifaa?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...