Gari walilokuwa wakisafiria askari hao wakati wa shambulio
Baadhi ya majeruhi wakiwa hospitalini
Baadhi ya sakari wa kulinda amani kutoka Tanzania wakiwa Darfur
Gari lililoshambuliwa
Mmoja wa majeruhi akiwa hospitali
Wakuu wa UNAMID Darfur wakimpa pole mmoja wa askari mwanamke aliyejeruhiwa
Wakuu wa UNAMID wakitembelea majeruhi
Gari lililoshambuliwa. Picha zote na UNAMID











why does a hospital in Darfu look way better then Muhimbili National Hospital?
ReplyDeleteInnalillahi wa innailayhi Rajiun. My friend, my schoolmate the late Sgt. Shaib Sheikh Othman.
ReplyDeleteNakukumbuka kwa upole na ucheshi wako. Tulisoma darasa moja High School Fidel Castrol Pemba, Zanzibar.
Mwenyezi Mungu akusameheme makosa yako na uwe ni miongoni mwa waja wa Peponi. Amin
Haji Rajab Haji. Mtoto wa Bimasha. Jang'ombe Zanzibar.
Anon WA kwanza umenena. No swali la kujuuliza sana. Kinachotakiwa kukarabati hospitali yetu,weka standards nzuri,wahudumu wapewe in training za customer services, polish up skills zao,weka vifaa vya maana na vinavyofanya kazi kwamfano Xray,increase Morale ya wafanya kazi kwa kuwapa incentives. Pia ajiri competent staff then Muhimbili will look like Darfur Hosp. Badala yake tunakimbilia India, plus madoctor manesi wanakimbilia ma NGO.
ReplyDeleteHakuna wajanja , hela zinatumika zilivyopangwa.
ReplyDeleteUN na Sudan,
ReplyDeleteAngalau mtuletee hao wauaji wa Majeshi yetu ili tuendeshe Kesi zao Arusha ICTR-(Mahakama ya Wahalifu wa Kivita) na kuwafunga, hatuta wanyonga kwa kuwa adhabu hiyo ni kinyume na Haki za Binaadamu.
Ila tutawafunga vifungo virefu sana na kazi ngumu hapa Tanzania!!!
mungu waponye hawa wanajeshi. mtapona tu maana hapo hiyo hosipatl ni safi na kila mgonjwa na mita miwili miwili. ingekuwa bongo hapa dhu!
ReplyDeleteyangu mimi ni hili hivi majeshi kumi na saba wataingiaje kwenye land cruizer moja hivi hao UN hawana vifaa?
ReplyDelete