BAADA YA KUONA SUALA LA KUSAFIRISHA VIFURUSHI KWENDA NAIROBI NA DAR LIMEKUWA GUMU KWA WATANZANIA NA WAKENYA WAISHIO UK, WAZEE WA KAZI WALIAMUA KULITAFUTIA UFUMBUZI AMBAPO MZEE WA KAZI CHRIS LUKOSI ALISAFIRI KWENDA NAIROBI NA DAR ES SALAAM MWISHO MWA MWEZI WA SITA KUHAKIKISHA KUWA SHUGHULIA ZA MIZIGO ZINABORESHWA NA KUHAKIKISHA WANASHIRIKIANA NA MAWAKALA AMBAO WAKO KIKAZI ZAIDI.
KUANZIA SASA MIZIGO YOTE YA SERENGETI ITAKUWA INASAFIRISHWA NA KENYA AIRWAYS ILI ISICHELEWE NJIANI
PICHANI MZEE WA KAZI ALIPEWA NAFASI YA KUSAFIRI NA MZIGO KUTOKA LONDON MPAKA DAR ES SALAAM ILI KUJIONEA MWENYEWE JINSI HUDUMA ZA MZIGO ZINAVYOKWENDA MSWANO NA BILA KWIKWI
kweli mko juu lakini mi mzigo wangu sikuleteeni kwa kuwa nawaogopa sana sana hao kenya nitatumia kampuni za Kizungu kama Tudor freight wao ni uhakika mzigo unaondoka na CONDOR air alhamis unaingia ZNZ jumatatu shwari kabisa haujawahi kupata matatizo wala mzigo haushushwi kenya kubadilishwa ndege bei chee kabisa hakuna kullipa custom wala ukubwa wa boxi
ReplyDeleteLini mzee wa kazi atasafirisha vifurushi kwa kutumia AIR TANZANIA? au ndio wa moja havai mbili?
ReplyDeleteDuh! jamaa mkali kaomba lifti kwenye ndege ya mizigo!?
ReplyDeleteChris unajisafirisha wewe mwenyewe sasa?
ReplyDelete