BAADA YA KUONA SUALA LA KUSAFIRISHA VIFURUSHI KWENDA NAIROBI NA DAR LIMEKUWA GUMU KWA WATANZANIA NA WAKENYA WAISHIO UK, WAZEE WA KAZI WALIAMUA KULITAFUTIA UFUMBUZI AMBAPO MZEE WA KAZI CHRIS LUKOSI ALISAFIRI KWENDA NAIROBI  NA DAR ES SALAAM  MWISHO MWA MWEZI WA SITA KUHAKIKISHA KUWA SHUGHULIA ZA MIZIGO ZINABORESHWA NA KUHAKIKISHA WANASHIRIKIANA NA MAWAKALA AMBAO WAKO KIKAZI ZAIDI.
KUANZIA SASA MIZIGO YOTE YA SERENGETI ITAKUWA INASAFIRISHWA NA KENYA AIRWAYS ILI ISICHELEWE NJIANI
PICHANI MZEE WA KAZI ALIPEWA NAFASI YA KUSAFIRI NA  MZIGO KUTOKA LONDON MPAKA DAR ES SALAAM ILI KUJIONEA MWENYEWE JINSI HUDUMA ZA MZIGO ZINAVYOKWENDA MSWANO NA BILA KWIKWI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. kweli mko juu lakini mi mzigo wangu sikuleteeni kwa kuwa nawaogopa sana sana hao kenya nitatumia kampuni za Kizungu kama Tudor freight wao ni uhakika mzigo unaondoka na CONDOR air alhamis unaingia ZNZ jumatatu shwari kabisa haujawahi kupata matatizo wala mzigo haushushwi kenya kubadilishwa ndege bei chee kabisa hakuna kullipa custom wala ukubwa wa boxi

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 22, 2013

    Lini mzee wa kazi atasafirisha vifurushi kwa kutumia AIR TANZANIA? au ndio wa moja havai mbili?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 22, 2013

    Duh! jamaa mkali kaomba lifti kwenye ndege ya mizigo!?

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 22, 2013

    Chris unajisafirisha wewe mwenyewe sasa?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...