Hayati Ethro Gadau Wella
|
Tarehe 07 Agosti
2008, miaka mitano leo toka ulipoitwa na Muumba wetu. Ni vigumu kuamini kama
haupo nasi hapa duniani kwani bado tunakukumbuka kwa uongozi wako bora na
upendo katika familia. Mme wako
Eleutheirus Wella; watoto wako Pamela,
Andrew, Jane, Clara; wajukuu zako Labron,
Naomi, Janell; ndugu, jamaa na majirani
zako wote wanazidi kukuombea ili upumzike mahali pema huko peponi, Amina.
BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA
JINA LAKE
LIHIDIMIWE


Pumuzika mama yetu Allah akujaalie pepo na kukusamehe makosa yako twakupenda na tutaendelea kukupenda daima dumu
ReplyDeleteR.I.P. daima hutasahaulika na watoto wako na wajukuu zako
ReplyDeleteTutakuenzi daima hasa wale ambao kwa namna moja ama nyingine uliwagusa kwa ukarimu na fadhila zako. MAMA MDOGO Pumzika Mahali Pema Peponi ambako hakuna chuki, dharau, wala husuda.Amen
ReplyDelete