Hayati Ethro Gadau Wella
Tarehe 07 Agosti 2008, miaka mitano leo toka ulipoitwa na Muumba wetu.  Ni vigumu kuamini kama haupo nasi hapa duniani kwani bado tunakukumbuka kwa uongozi wako bora na upendo katika familia.  Mme wako Eleutheirus Wella;  watoto wako Pamela, Andrew, Jane, Clara;  wajukuu zako Labron, Naomi, Janell;  ndugu, jamaa na majirani zako wote wanazidi kukuombea ili upumzike mahali pema huko peponi,  Amina. 

BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA

JINA LAKE LIHIDIMIWE

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. mzee wa bunjuAugust 07, 2013

    Pumuzika mama yetu Allah akujaalie pepo na kukusamehe makosa yako twakupenda na tutaendelea kukupenda daima dumu

    ReplyDelete
  2. R.I.P. daima hutasahaulika na watoto wako na wajukuu zako

    ReplyDelete
  3. Tutakuenzi daima hasa wale ambao kwa namna moja ama nyingine uliwagusa kwa ukarimu na fadhila zako. MAMA MDOGO Pumzika Mahali Pema Peponi ambako hakuna chuki, dharau, wala husuda.Amen

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...