IMG_3439
Tanzania iliwakilishwa vyema kwenye tamasha la kila mwaka liitwalo FestAfrica lililofanyika mwishoni mwa juma huko Silver Spring Md na kuhudhuriwa na mamia ya wakazi.Pichani ni Mdau Nene ambaye ni Mtanzania aliyeongoza kamati ya maandalizi ya Tamasha hilo akijivunia kazi yake. IMG_3269Maonyesho ya Mavazi ya Kiafrika yalitia fora kwenye Tamasha hilo. IMG_3282 IMG_3300 IMG_3326 IMG_3337
Kwa picha zaidi ungana na Sundayshomari.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. HONGERENI, ILA KUNAMAVAZI MENGINE HAYANA MAADILI YA KIAFRIKA, NEXT TIME MJITAHIDI KUONESHA MAVAZI YA AFRIKA KABISA NA SI KUCHANGANYA CHANGANYA. SIXMUND J. BEGASHE

    ReplyDelete
  2. Ngeza ngeza. Waafrika tuna nidhamu ya kujisitiri nyuchi zetu! Mengi ya Mavazi si yetu hayo.

    ReplyDelete
  3. Hivi hicho kichupi cha kitenge kweli ni vazi kiafrika?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...