Na Dkt Nooral Jiwaji
Mchoro huu unaonesha hali itakavyoonekana angani jioni ya leo Jumanne Oktoba 8, 2013 katika anga za upeoni magharibi mara tu baada ya Jua kuchwa. Kuanzia saa moja kasoro robo,
Nyota inayong'aa sana, ambayo ni sayari ya Zuhura (Venus) itaonekana karibu kabisa na hilali ya Mwezi. Sayari zingine mbili, Zohali (Saturn) na Utaridi (Mercury) zitaonekana chini yake.
Inapendeza sana. Naomba unisaidie pia nilisikia kuna mwanga mkali ulitokea angani siku ya jumapili ya wiki iliyopita. What was that?
ReplyDeletehaa hata mimi niliona ilikuwa ni al-shababu wanajaribu silaha zoa, usiogoe
ReplyDelete