Na Dkt Nooral Jiwaji
Mchoro huu unaonesha hali itakavyoonekana angani jioni ya leo Jumanne Oktoba 8, 2013  katika anga za upeoni magharibi mara tu baada ya Jua kuchwa. Kuanzia saa moja kasoro robo, Nyota inayong'aa sana, ambayo ni sayari ya Zuhura (Venus) itaonekana karibu kabisa na hilali ya Mwezi. Sayari zingine mbili, Zohali (Saturn) na Utaridi (Mercury) zitaonekana chini yake.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Inapendeza sana. Naomba unisaidie pia nilisikia kuna mwanga mkali ulitokea angani siku ya jumapili ya wiki iliyopita. What was that?

    ReplyDelete
  2. haa hata mimi niliona ilikuwa ni al-shababu wanajaribu silaha zoa, usiogoe

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...