Polisi wakiwa katika ulinzi mkali 
 Maduka yakiwa yamefungwa 

 Wafanya biashara wakiwa uwanjani kungoja kusikiliza nini  hatma yao
 Baadhi ya watu wakiwa wanakimbia Baada ya Mabomu ya machozi kuanza kurushwa kuepusha vurugu
 Mawe yakiwa yamepangwa kuzuia magari yasiende kokote

 Maduka yote yakiwa yamefungwa eneo la mwanjelwa kupinga ununuzi wa mashine hizo za TRA
 Vijana hawa wakiwa wana nawa uso baada ya Bomu la machozi kuwapitia 
 Jiwe kubwa likiwa limewekwa katika Barabara magari yasipite


 Hali tete Tayari vijana wameanza kuchoma mataili..

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Hapo sasa sijaelewa, ina maana wanataka kuendelea kama zamani ili waweze kuiba kodi?

    Mbona wafanyakazi wa serikali wanakatwa kodi kubwa kuliko wao wafanya biashara na hawajafanya fujo?

    ReplyDelete
  2. hii inaonyesha jinsi gani watu wengi hapa tanzania tusivyojua umuhimu wa kodi

    ReplyDelete
  3. Mbuyu ulianza kama mchicha,wamegonga sana lakini hawasikilizwi, ipo siku wataamua kuingia.Napita tu!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...