Polisi wakiwa katika ulinzi mkali
Maduka yakiwa yamefungwa
Wafanya biashara wakiwa uwanjani kungoja kusikiliza nini hatma yao
Baadhi ya watu wakiwa wanakimbia Baada ya Mabomu ya machozi kuanza kurushwa kuepusha vurugu
Mawe yakiwa yamepangwa kuzuia magari yasiende kokote
Maduka yote yakiwa yamefungwa eneo la mwanjelwa kupinga ununuzi wa mashine hizo za TRA
Vijana hawa wakiwa wana nawa uso baada ya Bomu la machozi kuwapitia
Jiwe kubwa likiwa limewekwa katika Barabara magari yasipite
Hali tete Tayari vijana wameanza kuchoma mataili..
Hapo sasa sijaelewa, ina maana wanataka kuendelea kama zamani ili waweze kuiba kodi?
ReplyDeleteMbona wafanyakazi wa serikali wanakatwa kodi kubwa kuliko wao wafanya biashara na hawajafanya fujo?
hii inaonyesha jinsi gani watu wengi hapa tanzania tusivyojua umuhimu wa kodi
ReplyDeleteMbuyu ulianza kama mchicha,wamegonga sana lakini hawasikilizwi, ipo siku wataamua kuingia.Napita tu!
ReplyDelete