Ngoma maarufu ya kitamaduni ya Sri Lanka ijulikanayo kama 'Ves. Umaarufu wake ni kama Ndingala kwa wanyakyusa, mdundiko kwa Wazaramo, Mbwa Kachoka ama Msewe kwa Zanzibar, Kidumbak kwa Pemba, Ighoboghobo kwa Mwanza,Kuduwa kwa Iringa, Mdumange kwa Tanga, Sangula kwa Morogoro, Mganda kwa Songea, Linguchwu kwa Wamatumb na kadhalika...

Ankal mbona nyimba sizisikii, au ni ala tu? Kwa vyovyote vile inafurahisha kwa kuona ziko jamii ambazo bado zinathamininutamaduni wao na kujiepusha japo kwa kiasi fulani na utamaduni wa kimagharibi. Ni somo kwetu.
ReplyDelete