Ngoma maarufu ya kitamaduni ya Sri Lanka ijulikanayo kama 'Ves. Umaarufu wake ni kama Ndingala kwa wanyakyusa, mdundiko kwa Wazaramo, Mbwa Kachoka ama Msewe kwa Zanzibar, Kidumbak kwa Pemba, Ighoboghobo kwa Mwanza,Kuduwa kwa Iringa, Mdumange kwa Tanga, Sangula kwa Morogoro, Mganda kwa Songea, Linguchwu kwa Wamatumb na kadhalika...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Ankal mbona nyimba sizisikii, au ni ala tu? Kwa vyovyote vile inafurahisha kwa kuona ziko jamii ambazo bado zinathamininutamaduni wao na kujiepusha japo kwa kiasi fulani na utamaduni wa kimagharibi. Ni somo kwetu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...