Mshambuliaji wa timu ya taifa, Taifa Stars, Mbwana
Samata, akimtoka mchezaji wa Zimbabwe, Simba Sithole, katika mchezo wa kirafiki
wa kimataifa uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Timu
hizo zilitoka suluhu.
Mshambuliaji wa timu ya taifa, Taifa Stars, Mbwana Samata, akimtoka mchezaji wa Zimbabwe, Simba Sithole.
Zimbabwe "walitulamba" goli safi dak.90+ refa akalikataa katika mazingira ya kutatanisha.Naongea haya nilikuwemo uwanjani na mpira wa miguu nauelewa vizuri na sheria zake.Timu yetu ya Taifa inahitaji vijana zaidi(damu changa) kwa sasa.Kama vipi kocha mkuu 'aonyeshwe mlango ulipo'ameshindwa kutupeleka tunapotaka(Set targets/goals not archieved).Hilo moja
ReplyDeleteLa pili:Timu ifungwe,ifanye vibaya sikubaliani na kitendo cha bahadhi ya watazamaji kuwashangilia Zimbabwe dakika tano za Mwisho.Kuwazomea Stars(boos) ruksa,inapeleka ujumbe ila kushangilia timu pinzani ya Tanzania-NO.Tanzania kwanza.
David V
David v nakuunga mkono bao lilikuwa safi sana!! na lisilo na ubishi ila wale waamuzi viwango vyao havikuridhisha kabisa.
ReplyDelete