Mshambuliaji wa timu ya taifa, Taifa Stars, Mbwana Samata, akimtoka mchezaji wa Zimbabwe, Simba Sithole, katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Timu hizo zilitoka suluhu.
Mshambuliaji wa timu ya taifa, Taifa Stars, Mbwana Samata, akimtoka mchezaji wa Zimbabwe, Simba Sithole.
Mshambuliaji wa taifa Stars, Shomari Kapombe akichuana na beki wa Zimbabwe.
 Shomari Kapombe akipiga pira wa kichwa ambao haukuzaa goli baada ya kutoka nje ya lango la Zimbabwe.
 Golikipa wa Zimbabwe akijaribu kuokoa moja ya hatari langoni mwake. (Picha na Francis Dande)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Zimbabwe "walitulamba" goli safi dak.90+ refa akalikataa katika mazingira ya kutatanisha.Naongea haya nilikuwemo uwanjani na mpira wa miguu nauelewa vizuri na sheria zake.Timu yetu ya Taifa inahitaji vijana zaidi(damu changa) kwa sasa.Kama vipi kocha mkuu 'aonyeshwe mlango ulipo'ameshindwa kutupeleka tunapotaka(Set targets/goals not archieved).Hilo moja

    La pili:Timu ifungwe,ifanye vibaya sikubaliani na kitendo cha bahadhi ya watazamaji kuwashangilia Zimbabwe dakika tano za Mwisho.Kuwazomea Stars(boos) ruksa,inapeleka ujumbe ila kushangilia timu pinzani ya Tanzania-NO.Tanzania kwanza.

    David V

    ReplyDelete
  2. David v nakuunga mkono bao lilikuwa safi sana!! na lisilo na ubishi ila wale waamuzi viwango vyao havikuridhisha kabisa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...