Wachimbaji wa madini ya Tanzanite (WanaApolo) wa Mji mdogo wa Mirerani Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara wakiwa na askari wa jeshi la zimamoto na uokoaji wa mkoa huo (aliyevaa sare) wakati wa ukaguzi wa usalama migodini.
Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji wa Mkoa wa Manyara, (aliyevaa sare) akiwa na wachimbaji wa madini ya Tanzanite wa Mji mdogo wa Mirerani Wilaya ya Simanjiro (WanaApolo) wakati wa ukaguzi wa usalama migodini.
Professionally this task should done by qualified occupational hazards specialist.....i doubt if done professionally. Sijui ndio kanyaga twende watajua wenyewe.....!!!!
ReplyDeleteMdau hapo juu hiyo sio kweli bali hiyo kazi inatakiwa ifanywe ni "Mining Safety Engineer".
ReplyDeleteMdau
UK
kwa hiyo aaminiwe yupi hapo kati ya mdau wa kwanza au wapili
ReplyDelete