Wachimbaji wa madini ya Tanzanite (WanaApolo) wa Mji mdogo wa Mirerani Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara wakiwa na askari wa jeshi la zimamoto na uokoaji wa mkoa huo (aliyevaa sare) wakati wa ukaguzi wa usalama migodini. 
Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji wa Mkoa wa Manyara, (aliyevaa sare) akiwa na wachimbaji wa madini ya Tanzanite wa Mji mdogo wa Mirerani Wilaya ya Simanjiro (WanaApolo) wakati wa ukaguzi wa usalama migodini. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Professionally this task should done by qualified occupational hazards specialist.....i doubt if done professionally. Sijui ndio kanyaga twende watajua wenyewe.....!!!!

    ReplyDelete
  2. Mdau hapo juu hiyo sio kweli bali hiyo kazi inatakiwa ifanywe ni "Mining Safety Engineer".
    Mdau
    UK

    ReplyDelete
  3. kwa hiyo aaminiwe yupi hapo kati ya mdau wa kwanza au wapili

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...