Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akisalimiana na Balozi Mdogo wa India aliyepo hapa Zanzibar Balozi Pawan Kumar aliyefika kwenye Ofisi yake iliyopo Baraza la Wawakilishi Mbweni kumuaga rasmi akikaribia kumaliza muda wake wa utumishi wa Kidiplomasia hapa Zanzibar.
Balozi Mdogo wa India aliyepo hapa Zanzibar Bwana Pawan Kumar akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif hapo Ofisini kwake kwenye jengo la Baraza la Wawakilishi Mbweni.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akimkabidhi zawadi ya Mlango wa Zanzibar Balozi Mdogo wa India hapa Zanzibar Bwana Pawan Kumari anayekaribia kumaliza muda wake wa kazi hapa Zanzibar kama ishara ya kumbu kumbu ya kuwepo kwake katika Visiwa vya Zanzibar.
Picha na Hassan Issa wa – OMPR – ZNZ.
Na balozi yupo???? 3
ReplyDelete