Kikosi cha Makomandoo kikionesha nidhamu na ukakamavu wa hali ya juu wakati wa kilele cha sherehe za miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar katika Uwanja wa Amani

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Himahimaaaa, Tanzaniaaa
    Himahimaaaa, Tanzaniaaa
    Himahimaaaa, Tanzaniaaa.
    Proud to be Tanzanian.

    ReplyDelete
  2. Hiki ni kile kikosi cha askari wa 'miguu' kama wajiitavyo wenyewe, tofauti na kile kikosi cha makomandoo. Hawa huwa wanakwenda umbali fulani tena kwa mwendo wa kasi huku wakiwa wamebeba shehena zao migongoni, usiombe ukaelemewa.

    ReplyDelete
  3. Hulia mnyau hula kitweo?

    Mie Makame kuanzia leo navaa msuli nenda kondeni kuchuma karafuu, upinzani nihatari.

    Majeshi yanatisha ame!

    Mnyau ndio huo je Simba yuwaje?

    ReplyDelete
  4. Tuwe amkini, na tuache kutumiwa vibaya na Wanasiasa wachochezi, Majeshi yanatisha!

    Tutii amri na kujenga nchi!!!

    ReplyDelete
  5. Mchaka mchaka wa wazeewa kazi JWTZ kama huwo halafu mtu unachomeka mikono yako hapo, unafanya maandamano, unakiuka amri, kanuni na sheria za nchi.

    Ukiwa na akili timamu unajifahamu kabisa utendalo, unatenda Makosa, unakiuka Sheria za nchi, unaasi Utii kwa nchi.

    Si mcheazo jamaa wapo kamili, msije kuyakanyaga baadae mnakimbilia kwenye Haki za binaadamu na Harakati za Demokrasia?

    Hapo baadaye ukiangukiwa na ukuta huo wa miamba hiyo utamlaumu nani?

    ReplyDelete
  6. Waulizeni M23 huko Uganda walikokimbilia na kuhifadhiwa watawapa habari kamili kuhusu hao miamba JWTZ.

    ReplyDelete
  7. Rigwaride hilo ra Geshi (jeshi) mmeliona?

    Hilo saga buti si mchezo, Jalamba la ukweli la kujinoa!

    Ole wako wewe tumwa na hao wa kukutuma fanya fujo, lete ukorofi ukiangukia miguuni mwa Mabuti ya wanaume utakanyagwa na kuwa chapati!

    ReplyDelete
  8. Hahaha Mdau wa 6

    Huo mchaka mchaka unaitwa kanyaga twende!

    Jamaa mchaka mchaka wao sehemu unapo pita hata kama kenge, nyoka ama mjusi alikuwa kwenye majani pembeni atatoka mbio kujisitiri!!!

    Kweli M23 wanayo habari kamili kuhusu vidume hawa.

    Majeshi si mchezo.

    ReplyDelete
  9. Wahuni na Masela hufanya ujinga wao na fujo za, lakini mziki ambao hao jamaa JWTZ wanawasili kila Msela na njia yake!!!,,lazima watakimbia.

    Hao M23 SALAMU WATAZIPATA KUTOKA KWA WAGENI WAKIWEMO MARAISI WALIO HUDHURIA SHEREHE HIZI.

    WATAAMBIWA TUMEWAONA JAMAA WAKIWA HOT KTK GWARIDE!!!

    ReplyDelete
  10. M23 waliopo kwenye hifahdi Uganda baada ya kushindwa vita Congo-DRC, wamesema ni afadhali washiriki Kilimo kuliko kukabiliana na Majeshi ya JWTZ ya Tanzania.

    Wanasema hata kwa Mshahara wa zaidi ya Dola Milioni moja hawatakubali tena kwenda vitani!

    Wanasema afadhali Jembe mkononi kuliko Bunduki dhidi ya JWTZ-Tanzania!!!

    ReplyDelete
  11. Huo Mchaka mchaka wa Jeshi kama wakija sehemu mlikuwa mnacheza Kamari?

    Ni wazi kila kitu kitaachwa jamvini, hata kama ni fedha za ushindi!

    Ohhh kila Msela atakuwa na nia yake mbio, hakuna kufuatana kila moja anaogopa mwenzangu atanilengesha halafu tutamatwe wote!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...